Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nyuki kujiendekeza tu kwa sababu muziki wake ni wa kawaida sana. Nimerina sana asali utotoni. Sana sana ni kuvimba mikono na uso tu na baada ya siku tatu hivi uvimbe unaisha [emoji16]Mtu along’atwa na nyuki anatakiwa atolewe miba kwa kutumia kitu chenye ncha kali kama kisu au sindano.
Asitumie kucha maana zitasaidia kuminya sumu.
Aondolewe miiba yote na atapishwe ili kuondoa sumu iliyopo tumboni kisha awahishwe hospitali.