Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alizikwa huko huko porini kama mnyama japo baadaye nadhani rais mpya aliamua akafukuliwe na kuzikwa kitaifa kwa sababu tu aliwahi kuwa makamu wa rais kabla hajaamua kuuacha na kurudi msituni.Akafishwa kama mnyama pori