myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:16
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekuja na siasa zako huko. Nazikimbia huko kwenye magroup ya WhatsApp kwa sababu watu wanatukanana balaa japo ni magroup ya classmates. Kila zikianza hapa nitakuwa nahamia kwenye uzi wa kuselfika na vituko vya mtandaoni [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Sawasawa
Duh! Unadhani nani atashinda hapo?
Anafaa kuwa MVP this season au tumpe Greek Frick au Uchebe?
Swali: Tomato ipi sahihi ni nzuri kuila hii mbichi au hata ileambayo imeshawekwa kwenye mboga na ikapikiwa tukaila kupitia mboga?Tomato zina vitamini C kwa wingi. Wataalamu wa afya wanaelezakuwa vitamini hivi vina kazi kubwa ya kulinda mwili na maradhi mbalimbali. Pia vitamini hivi vinakazi ya kuzuia utengenezwaji wa selibila ya mpangilio yaani seli za saratani.
Kumbe tulishawahi kuwapa hikikipigo na sisi mbuzi hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rekodi hii ilivunjwa na Man United baada ya miaka 60View attachment 1553155
Morogoro road/ Libya streetKISUTU-Dar Es SalaamView attachment 1553580