Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapokunywa sumu wahi kunywa maziwa au ukikosa kunywa maji mengi sana.Fanya hivi pia kwa mtu alokunywa sumu au sabuni au kemikali yeyote. Hii ni kama huduma ya kwanza tuu kisha wahi hospitali
Nauliza, Hivi mtu akigongwa na nyoka mwenye sumu akinywa maziwa au kutumia sabuni yenye kemikali ataweza kupunguza nguvu ya sumu iliyipo mwilini kabla ya kufika Hospital?
 
Nauliza, Hivi mtu akigongwa na nyoka mwenye sumu akinywa maziwa au kutumia sabuni yenye kemikali ataweza kupunguza nguvu ya sumu iliyipo mwilini kabla ya kufika Hospital?
Wataalmu wa afya hawaonyeshi kama maziwa yanatibu au kuleta nafuu kwenye sumu ya nyoka. Sumu ya kawaida inaponywewa inakimbilia tumbon hivyo maziwa yanamsaidia mgonjwa kuitapika sumu wakati sumu ya nyoka inafikia kwenye damu kwanza
 
IMG_20200830_111958.jpg
 
Back
Top Bottom