Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1598742154844.jpg
 
Wataalmu wa afya hawaonyeshi kama maziwa yanatibu au kuleta nafuu kwenye sumu ya nyoka. Sumu ya kawaida inaponywewa inakimbilia tumbon hivyo maziwa yanamsaidia mgonjwa kuitapika sumu wakati sumu ya nyoka inafikia kwenye damu kwanza
Uko sahihi Dr. Esta. Sumu ya nyoka huua kwa kuharibu mfumo wa fahamu (ubongo unashindwa kufanya kazi), kuua seli za mwili na kusababisha damu kuganda mpaka mishipa ya damu inapasuka sehemu mbalimbali za mwili na mwathirika anavuja damu mpaka anakata roho. Yote haya yanategemea sumu iingie kwenye mfumo wa damu na kusambazwa sehemu mbalimbali za mwili. Ndiyo maana unaweza kumeza sumu ya nyoka na kama huna vidonda vya tumbo au majeraha mengine tumboni huwezi kupata madhara yo yote.

Kwa hivyo kunywa maziwa kwa mtu aliyeumwa na nyoka ni kazi bure kwa sababu maziwa hayo hayaingii kwenye mfumo wa damu moja kwa moja.
20200830_082625.jpg
 
Uko sahihi Esta. Sumu ya nyoka huua kwa kuharibu mfumo wa fahamu (ubongo unashindwa kufanya kazi), kuua seli za mwili na kusababisha damu kuganda mpaka mishipa ya damu inapasuka sehemu mbalimbali za mwili na mwathirika anavuja damu mpaka anakata roho. Yote haya yanategemea sumu iingie kwenye mfumo wa damu na kusambazwa sehemu mbalimbali za mwili. Ndiyo maana unaweza kumeza sumu ya nyoka na kama huna vidonda vya tumbo au majeraha mengine tumboni huwezi kupata madhara yo yote.

Kwa hivyo kunywa maziwa kwa mtu aliyeumwa na nyoka ni kazi bure kwa sababu maziwa hayo hayaingii kwenye mfumo wa damu moja kwa moja.
View attachment 1553194
Asante kwa madini
 
Back
Top Bottom