Mwaka mmoja baadae baada ya tukio hilo familia nyingine ya bwana Lutz ilihamia katika nyumba hiyo lakini ndani ya siku 28 waliikimbia wakidai kuona mauza uza ya ajabu kwenye nyumba hiyo.
Kufuatia hali hiyo Polisi waliamua kuchunguza, walichofanya ni kutegesha Camera umbali kidogo na nyumba hiyo. Camera hizo ni zile zenye uwezo wa kupiga picha ambazo kwa macho ya kawaida huwezi kuona, Ina uwezo wa kupenya hata katika vitu visivyo onekana kirahisi.
Baada ya kuchukua picha nyingi, . Inaaminika kua huyo ni John Matthew, Alikua ni mtoto mdogo bado wakati anauwawa mwaka 74 na kaka yao ambae ni Ronald.