Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1599028687458.jpg
 
Mbegu huota baada ya siku 3-5 kutegemea na hali ya hewa. Inakupasa kukagua shamba mara tatu kwa siku. Baadaye Ondoa plastiki mara moja pindi utakapoona mbegu moja tu iliyoota. Usicheleweshe kuondoa plastiki husababisha miche inayoota kufa kwa kuunguzwa na joto lililo katika plastiki. Hapo tayari kwa kupanda shambani.
Kwahiyo hilo plastiki linafunika kitalu kizima, na kwa hizo siku tatu zote kitalu hakimwagiliwi mpaka mbegu ziote? Hizo mbegu si zitakuwa ndogo sana kwa kupanda au ndo inavyoshauriwa?
 
Back
Top Bottom