moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120] [emoji120]
Sera zipo ACT wazalendo, wengine wanamwaga povu tuMuda wa kumwaga seraaaa......hata kama hazitimiii
Kwa hiyo hapo mzee ni mwendo kunyanyua chuma kisha unawatokea na kuwapa dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majimama haya hayana soko. Yaani ni kuhondomola tu bila shida. Muhimu tu uwe na fenesi na pumzi ya kutosha [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1556477
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayana shida kabisa. Na kuna imani kubwa sisi weusi na hasa Waafrika tumejaliwa mafenesi na maguvu balaa. Basi yakisikia tu lafudhi (accent) lazima yaulize "Are you from Jamaica?". Na ukiwa na rasta ndo kabisaaa ushindwe mwenyewe tu....Kwa hiyo hapo mzee ni mwendo kunyanyua chuma kisha unawatokea na kuwapa dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu atachukua kura za kusini, Lissu za Kaskazini na zilizobaki ni za buludoza....Sera zipo ACT wazalendo, wengine wanamwaga povu tuView attachment 1556502