moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Hayana shida kabisa. Na kuna imani kubwa sisi weusi na hasa Waafrika tumejaliwa mafenesi na maguvu balaa. Basi yakisikia tu lafudhi (accent) lazima yaulize "Are you from Jamaica?". Na ukiwa na rasta ndo kabisaaa ushindwe mwenyewe tu....
Ila mimi naomba nisihusishwe kwa namna yo yote ile na maoni haya. Mimi ni obuseva tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekusoma kamanda