Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shinyanga noma sana
FB_IMG_1599062129049.jpg
 
Hayana shida kabisa. Na kuna imani kubwa sisi weusi na hasa Waafrika tumejaliwa mafenesi na maguvu balaa. Basi yakisikia tu lafudhi (accent) lazima yaulize "Are you from Jamaica?". Na ukiwa na rasta ndo kabisaaa ushindwe mwenyewe tu....

Ila mimi naomba nisihusishwe kwa namna yo yote ile na maoni haya. Mimi ni obuseva tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwendo wa matipwatipwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom