moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Hayana shida kabisa. Na kuna imani kubwa sisi weusi na hasa Waafrika tumejaliwa mafenesi na maguvu balaa. Basi yakisikia tu lafudhi (accent) lazima yaulize "Are you from Jamaica?". Na ukiwa na rasta ndo kabisaaa ushindwe mwenyewe tu....
Ila mimi naomba nisihusishwe kwa namna yo yote ile na maoni haya. Mimi ni obuseva tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Poa kabisaNatumai nyote mko poa
Duh!!!! Ila liko vizuriMajimama haya hayana soko. Yaani ni kuhondomola tu bila shida. Muhimu tu uwe na fenesi na pumzi ya kutosha [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1556477
SafiiiAsante mkuuView attachment 1556492
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee.... Bahari hoteli ua?Mzee wa ubwabwa atoa ahadi ya kupeleka bahari mjini DodomaView attachment 1556767