Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-09-06 Instagram(6).png
 
Aaah ban zinanikimbia aah siasan nimepahama. Am back home sweet home nikiwa na lundo la maadui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata hapa sometimes siasa zinakuja zinakata na panaboa sometimes ila angalau kuna unafuu kidogo aisee .....
 
Pole [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata hapa sometimes siasa zinakuja zinakata na panaboa sometimes ila angalau kuna unafuu kidogo aisee .....
Asante bro ila sijapata ban nilikua naitafuta kule wiki nzima nimeshabikia wasipopenda wengi wala hamna ban. Uchaguzi uishe tu mwaka huu hamna siasa bali mfano wa siasa pamepooza hadi kigwa kafokewa kuiteka mitandao badala ya baba stone
 
Back
Top Bottom