Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
SafiiiMaandalizi ya mkutano wa Hashim Rungwe jioni hiiView attachment 1560614
Pole [emoji16][emoji16][emoji16]Aaah ban zinanikimbia aah siasan nimepahama. Am back home sweet home nikiwa na lundo la maadui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante bro ila sijapata ban nilikua naitafuta kule wiki nzima nimeshabikia wasipopenda wengi wala hamna ban. Uchaguzi uishe tu mwaka huu hamna siasa bali mfano wa siasa pamepooza hadi kigwa kafokewa kuiteka mitandao badala ya baba stonePole [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata hapa sometimes siasa zinakuja zinakata na panaboa sometimes ila angalau kuna unafuu kidogo aisee .....