Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nyota zinapomaliza uwezo wake hulipuka na kusababisha shimo jeusi - iwapo ni nyota kubwa.
Nimeona kosa languNamba 4 haitakaa ipate kimiminika kamwe! Bado unafanya makosa yale yale ya wakati uleeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Google translator inahusika hapa kidogo aisee [emoji16][emoji16]Kuhusika kwa kitu chenye uzito mara 85 ya jua letu kwenye mgongano kumewafanya wanasayansi wa kushirikiana kukaa chini kwa sababu uelewa wao wa jinsi mashimo meusi hutengenezwa kufuatia mlipuko wa nyota hawawezi kuwajibikia kitu kwa kiwango hiki.
Duh![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1561061