Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20200905_174510.jpg
Am grateful 🙏
 
Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara

“Mambo ya kuwadanganya Wafanyakazi unawaongezea mshahara halafu kesho yake nauli zinapanda, unga,mafuta na kila kitu kinapanda hivyo vimepitwa na wakati lakini nimewaahidi Wafanyakazi kwamba kabla sijamaliza muda wangu nitawapandishia mishahara msijali”-JPM
Lugha inatuchanganya, kumbe PAE imepunguzwa, madaraja yamepandishwa na malimbikizo yamelipwa.
Kuna haja gani tena ya kupandisha mishahara hapo baadaye ikiwa hivyo vimeongezwa?
Siasa ni ngumu siziwezi
 
Back
Top Bottom