moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Acha tu jirani[emoji23][emoji23]Wanaume tumeumbiwa mateso jirani. Halafu eti wanauliza kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema.
Safiii
Hekima sana hii umeandika. Hongera kaka mkubwa.Watu Wakiona Umeanza Kuijua Thamani Yako Halafu Wakishindwa Kukutumia Kwa Manufaa Yao Ili Wafaidike Wao Kupitia Wewe Wanaanza Kukuona Kiburi
Maisha Sio Kwa Ajili Ya Kumpendeza Kila Mtu.
huyu ndo kaiba simu ?anauliza mLevi flani ivi
Jirani, napita.
Jirani umepoteaJirani, napita.