moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahah eti wale magauni......hii nzuri mno nacheka balaa, naingalia tartibu isiishe😅Nzuri na nnavyozipenda jela za kikorea.
Ukitaka jela za kikoreaza wale magauni tafuta flower in prison
😂😂😂😂😂😂😂eti isiishe jamaniiiHahah eti wale magauni......hii nzuri mno nacheka balaa, naingalia tartibu isiishe😅
😂😂😂😂 Looney ananichekesha sana😂😂😂😂😂😂😂eti isiishe jamaniii
Sijui ndio Siasa zimepaamba moto huko kibandamaiti😆, ametususa sana
Korea sihami, USA nitaenda kutembea tu😝
😂😂😂😂😂Korea sihami, USA nitaenda kutembea tu😝
#KingAonehapa
😂😂😂😂😂😂zenji wana majina ya ajabuSijui ndio Siasa zimepaamba moto huko kibandamaiti😆, ametususa sana
Shenzi zake anajitekesha😏😂😂😂😂😂
#KingAnatekwakilasiku
prison playbookHahah eti wale magauni......hii nzuri mno nacheka balaa, naingalia tartibu isiishe😅
king amekuwa fala kutekwaShenzi zake anajitekesha😏
fanya ukaribie siku moja😂😂😂😂😂😂zenji wana majina ya ajabu
Hatimae Babu Umekuja, hahah eti hosptal playbook😀.... vile siwezi kukuangusha, Wikiend naanza nayoprison playbook
ukitoka hapo hamia
hospital playbook
hautojutia bando lako.....Hatimae Babu Umekuja, hahah eti hosptal playbook😀.... vile siwezi kukuangusha, Wikiend naanza nayo
ni rahisi kuhama america kuliko korea (kama huamini weka mgomo wa kutokuangalia wakorea japo kwa wiki mbili)........Korea sihami, USA nitaenda kutembea tu😝
#KingAonehapa