D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
neeeee ahjummoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mpemba bhana
neeeee ahjummoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mpemba bhana
Sijui hata ni huo mji tu ndio naujuaok, naomba unisaidie mkorea wewe, haya madude ya mahindi yana kazi gani?
nimeona maandishi ya kikorea
View attachment 1569438
ni bora wavalie bukta nyeusi
Kama hivyoni bora wavalie bukta nyeusi
swadakta, zile bukta nyengine ni mizinguoKama hivyo
😄😄 Zile zilkuwa sio officialswadakta, zile bukta nyengine ni mizinguo
[emoji23][emoji23][emoji23]fanya ukaribie siku moja
- kisimajongoo
- dole
- donge
- makunduchi
- jambiani
- kilima nyege (alipopitishwa muheshimiwa akaomba msafara urudishwe tena)[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Aiseembona hao ni watu wa kawaida sana (mkutano wa kibanda maiti huwa haukamiwi na wapinzani)
subiria mikutano ya:-
- nungwi
- makunduchi (ngome ya ccm)
- donge