D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mbona hao ni watu wa kawaida sana (mkutano wa kibanda maiti huwa haukamiwi na wapinzani)Purple kila kona
subiria mikutano ya:-
- nungwi
- makunduchi (ngome ya ccm)
- donge
mbona hao ni watu wa kawaida sana (mkutano wa kibanda maiti huwa haukamiwi na wapinzani)Purple kila kona
Naungana na wewe katika hili, Korea filamu zao zina mguso kwa namna moja.ni rahisi kuhama america kuliko korea (kama huamini weka mgomo wa kutokuangalia wakorea japo kwa wiki mbili)........
wakorea wanakupa kila kitu ukifanyacho kila siku kwenye maisha.
wamarekani muda wote wapo bize utafikiri tupo siku ya mwisho ya uhai
kitu pekee wanachokiweza wamarekani ni kutengeneza project za mapigano ya bunduki na mabomu.Naungana na wewe katika hili, Korea filamu zao zina mguso kwa namna moja.
Utuletee mapicha pichambona hao ni watu wa kawaida sana (mkutano wa kibanda maiti huwa haukamiwi na wapinzani)
subiria mikutano ya:-
- nungwi
- makunduchi (ngome ya ccm)
- donge
Basi jiite Daejeonkitu pekee wanachokiweza wamarekani ni kutengeneza project za mapigano ya bunduki na mabomu.
nje ya hapo ni empty set
waulize kwa ngono zembe kama mbuzi meee, watu wanakwenda dating siku moja wakirudi wanaishia nyumba ya msichana.
wakorea ikipangwa dating wakirudi ni chatting na kutumiana emoji za kimapenzi.
basi rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bin rahaaaaaaaaaa
=====================
ndio nani huyo?Basi jiite Daejeon
Mji upo S Koreandio nani huyo?
ok, naomba unisaidie mkorea wewe, haya madude ya mahindi yana kazi gani?Mji upo S Korea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂fanya ukaribie siku moja
- kisimajongoo
- dole
- donge
- makunduchi
- jambiani
- kilima nyege (alipopitishwa muheshimiwa akaomba msafara urudishwe tena)🚶♂️🚶♂️🚶♂️
kuna route moja ya gari (davet itakuwa amepita)😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kuna route moja ya gari (davet itakuwa amepita)
konda anainadia
makufuli, mwembe mchomeke, dole.... skuliiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mpemba bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]