Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ni rahisi kuhama america kuliko korea (kama huamini weka mgomo wa kutokuangalia wakorea japo kwa wiki mbili)........
wakorea wanakupa kila kitu ukifanyacho kila siku kwenye maisha.

wamarekani muda wote wapo bize utafikiri tupo siku ya mwisho ya uhai
Naungana na wewe katika hili, Korea filamu zao zina mguso kwa namna moja.
 
Naungana na wewe katika hili, Korea filamu zao zina mguso kwa namna moja.
kitu pekee wanachokiweza wamarekani ni kutengeneza project za mapigano ya bunduki na mabomu.
nje ya hapo ni empty set
waulize kwa ngono zembe kama mbuzi meee, watu wanakwenda dating siku moja wakirudi wanaishia nyumba ya msichana.
wakorea ikipangwa dating wakirudi ni chatting na kutumiana emoji za kimapenzi.

basi rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bin rahaaaaaaaaaa
=====================
 
Basi jiite Daejeon
 
fanya ukaribie siku moja
  1. kisimajongoo
  2. dole
  3. donge
  4. makunduchi
  5. jambiani
  6. kilima nyege (alipopitishwa muheshimiwa akaomba msafara urudishwe tena)πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna route moja ya gari (davet itakuwa amepita)
konda anainadia

makufuli, mwembe mchomeke, dole.... skuliiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…