Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poleni mlio kazini
Usiwasahau waandishi wa habari
FB_IMG_1594865896055.jpg
 
Wanafunzi 10 wafariki Dunia na wengine 6 wamejeruhiwa vibaya baada ya moto kuchoma majengo ya shule ya msingi ya Byamungu Islamic iliyo kata ya Itera wilya ya Kyerwa mkoani Kagera.

Mungu walaze pema peponi watoto hao[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_1600065546381.jpg
 
Back
Top Bottom