Tafiti: Uchunguzi wa hivi karibuni umeonesha uwepo wa gesi ya Phosphine kwenye sayari ya Venus. Duniani gesi hiyo hutengenezwa na bakteria wanaopatikana maeneo ambayo yana ufinyu wa hewa ya oksijeni hivyo huenda katika sayari ya Venus kuna uwepo wa viumbe wengine wanaishi huko (Aliens)
Tafiti: Watu hupenda kuwa kwenye uhusiano na watu ambao wanakaribiana mpangilio wa uzao katika familia zao. Kama kwenu wewe ni mtoto wa pili kuzaliwa una uwezekano mkubwa wa kuwa kwenye uhusiano na mtu ambae nae ni mtoto wa pili kutoka kwenye familia yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.