Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Panya dume' wanaopenda kunywa maziwa mgando huwa na korodani kubwa zaidi na kama akijamiiana kuna uwezekano mkubwa watoto kutoka na afya nzuri zaidi. Baada ya utafiti kufanyika kwa binadamu (Wanaume) matokeo yalikuja sawa.
 
Idadi ya Picha za kidijitali zinazopigwa kwa kila mwaka:

2020: 1.43 trillion
2019: 1.42 trillion
2018: 1.3 trillion
2017: 1.2 trillion
2016: 1.1 trillion
2015: 1 trillion
2014: 810 billion
2013: 660 billion

Source: InfoTrends, Mylio
 
Viagra kwa mwanzo zilitengenezwa kwaajili ya kutibu maumivu ya kifua pamoja na kupunguza shinikizo kubwa la damu. Wakati wa uchunguzi watafiti waligundua dawa hizo zilikua na uwezo zaidi wa kusababisha uume' kusimama na kusaidia kuongeza nguvu za kiume kuliko magonjwa mengine yaliyokusudiwa.
 
Kifizikia Nyeusi na Nyeupe sio rangi, Sababu Nyeusi hupatikana kutokana na kukosekana kwa mwanga na nyeupe hupatikana kutokana na muunganiko wa rangi zote. Hata Pinki' pia nayo sio rangi kifizikia.Chanzo: Britannica
 
Back
Top Bottom