BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mkuu Numbisa China watashuka toka 1.4 billion 2020 hadi 732 million 2100?
Nchi zinazotabiriwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya watu ifikapo mwaka 2100;
1. India - 1.09B
2. Nigeria - 791M
3. China - 732M
4. USA - 336M
5. Pakistan - 248M
6. DRC - 246M
7. Indonesia - 229M
8. Ethiopia - 223M
9. Egypt - 199M
10. Tanzania - 186M
Chanzo: WeForum