Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akaunti zenye wafuasi wengi zaidi Twitter kwa upande wa vyombo vya habari tu kwa Tanzania;

1. Swahili Times - 624K
2. EATV - 603K
3. Mwananchi News - 525K
4. Ea Radio- 481K
5. Azam Tv - 440K
6. Choice Fm - 261K
7. Clouds Fm - 216K
8. The Citizen - 206K
9. Nation Media Group - 113K
10. Mwanaspoti - 53K

Chanzo: Social Bakers
 
Tafiti: Uchunguzi wa hivi karibuni umeonesha uwepo wa gesi ya Phosphine kwenye sayari ya Venus. Duniani gesi hiyo hutengenezwa na bakteria wanaopatikana maeneo ambayo yana ufinyu wa hewa ya oksijeni hivyo huenda katika sayari ya Venus kuna uwepo wa viumbe wengine wanaishi huko (Aliens)
 
Tafiti: Watu hupenda kuwa kwenye uhusiano na watu ambao wanakaribiana mpangilio wa uzao katika familia zao. Kama kwenu wewe ni mtoto wa pili kuzaliwa una uwezekano mkubwa wa kuwa kwenye uhusiano na mtu ambae nae ni mtoto wa pili kutoka kwenye familia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…