BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nchi zinazotabiriwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya watu ifikapo mwaka 2100;
1. India - 1.09B
2. Nigeria - 791M
3. China - 732M
4. USA - 336M
5. Pakistan - 248M
6. DRC - 246M
7. Indonesia - 229M
8. Ethiopia - 223M
9. Egypt - 199M
10. Tanzania - 186M
Chanzo: WeForum
Naupenda huu wimbo sana
Usiku umeingia kwetu
Mungu atupe usiku mwema
Amani iwe kwetu
Duh!Sudani tuwaombeeView attachment 1578505
[emoji125][emoji125][emoji125]Moja wapo iwe ni ya kuona pango moja kwa moja... Yaani laiivuuu...Katika kuhangaika kutuma clip za IFM mara paap ukatuma na zako [emoji23][emoji23]