Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

officialdennisedward-20200917-0002.jpg
 
Magawa ni jina la Panya mkubwa wa kiume ambae anatoka Tanzania lakini anafanya kazi nchini Cambodia, Ametunukiwa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini. Magawa amenusa mabomu 39 na silaha 28 ambazo hazijalipuka katika maisha yake, Katika wanyama 30 waliowahi kupewa tuzo hiyo, Hii imekua ya kwanza kwa Panya.
 
Nyati akizeeka hutengwa na familia sababu anakua hana uwezo wa kuwalinda wenzake. Wanaotengwa ndio huwa balaa na hatari zaidi, Unashauriwa kukaa mbali kabisa na nyati unaemuona yupo peke yake, sababu muda wote anakua na stress na kujihami kwa kitu chochote, wanaotengwa huwa ni dume.
 
Back
Top Bottom