Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wanawake wana uwezo mzuri zaidi wa kujua tabia/hisia za mtu kwa kumtazama tu usoni kuliko wanaume.
AiseeFahamu Zaidi
Vyuo bora zaidi kitaaluma kwa Tanzania, Data 2019-2020;
1. MUHAS
2. UDSM
3. SUA
Note: Vyuo vingine havijawekwa kabisa kwenye orodha.
Chanzo: urapcenter
eeeeeh wewe, umemalizaje jamani ? mwenzio bado ☺Auntieeeee basi nimeimaliza tailor aah najisikia vibaya nimewazoea