Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1601190398803.jpeg
 
*KILIMO CHA NYOKA*
Achana na kufuga Kuku, sijui kulima Matikiti, Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndo suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.. fikiria uwe na *cobra kumi* , cobra mmoja anataga mayai *sitini,* kwa mwezi anatotoa. sitini mara kumi ni *600,* 600*12= *7200* kwa hiyo kwa mwaka unakua na *cobra 7200* na cobra mmoja anatoa *gram 10 za sumu* kwa cku sasa inakua ni 7200*10= *72000* sasa gramu 72000*1880= *135,360,000* hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua 135,360,000*10= *1,353,600,000* maanake kwa mwaka mmoja kwa cobra tuu acha *black mamba,* *kifutu *nk** unakua na *bilioni 1.4* sasa apo toa garama ya *panya* wa kuliwa na cobra plus usafi hivii ambayo ni ka milioni mia ivi maana Panya nao unafuga tuu apo unawalisha *pumba* na wayawaya ivi basii sasa mwaka mmoja faida yako ni *bilioni moja* na kitu kwa mtaji wa *cobra kumi* tuu
By K M K

*Mchongo ndio huu sasa!!!*
Kuna utalaam gani wa namna kuishi nao?
>Ili uweze kusafisha Banda Lao
>Kuwakamata ili kuwatenganisha maana Cobra ana tabia ya kula vifaranga vyake
>Kukamua sumu nk

Nadhani kwa mwaka unaweza pia kupoteza wahudumu wawili au watatu kwa kung'atwa na hao nyoka

Hivi wanunuzi wa hiyo sumu ni nani hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom