Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nyota wa Liverpool na England aliye chini ya miaka 20 Rhian Brewster, anavutiwa kutua Sheffield United licha ya klabu ya Aston Villa kuhitaji huduma ya kinda huyo.(ESPN)
Shwari mzee baba niaje kiongoziHeshima kwenu
Amin,Mungu atupe usiku mwema