Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hawa majirani wametuaibisha! Wakiendelea tutawatimua kwenye jiji letu hili. Yani goal 5😬😬😬
Hawa majirani wametuaibisha! Wakiendelea tutawatimua kwenye jiji letu hili. Yani goal 5😬😬😬
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sio kwa kichapo kile
Hivi na Yego si yumo kwenye hako ka genge? Msimu huu tutawataka wajue Manchester is RED!Goli tano zote wameangalia tu zikiingia bila juhudi ya kuzirudisha
Manchester is Red
[emoji23][emoji23][emoji23] Sina la kufanya Coco, watoto wametuabisha sana wale.... inabidi tu nijicheke[emoji2356]The Happiness ni jana tu umepigwa goal 5 na watoto wadogo, unapata wapi ujasiri na nguvu ya kutoa meno yako nje hadharani namna hii[emoji51][emoji51]
Kama hiviHapo wewe pia unaweza kufunga vizuri tu
Penaldo at it Again [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]