Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mheshimu kila mtu bila kujali ni tajiri au maskini, mtoto wala mkubwa maana siri ya mafanikio hutokana na heshima yako na huwezi jua kesho itakuwaje.
Duh...Losis XIX alikuwa mfalme wa ufaransa kwa dakika 20 tu.
SalaamSalam kwenu