TUNZA MWILI /CHANGAMSHA MWILI.
Ukiamka usikurupuke katika kuanza labda kuandika kitabu au kuanza kufanya kazi za ofisini itakua sio sawa,Ni muhimu na afya kuanza kwanza kuutunza mwili kabla ya kufanya kazi ya kutengeneza pesa,Kwa maana afya ni bora na Mtaji wa kwanza kabla ya kitu chochote,Kuna baadhi ya watu wakiamka huwa wanaamua kwanza kunywa maji ya kawaida,limao,au ya uvuguvugu au kupiga kwanza mswaki,Hii ni muhimu sana kwa wewe kuupa mwili muda wa kuchangamka kwanza na kuweza kuupa akili kuconcentrate na kua productive kwa wakati huo na kwa siku nzima.