Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Badilisha mtazamo wako na itabadilisha maisha yako. - haijulikani
Huku kwetu mti wake unaitwa mchongoma, watu wanapanda kama uzio ingawa tunda lake linaitwa ukwaju.Ya chini tulikua tunaita mahamri,matamu ila yananukisha mdomo balaa
Ndio huo huo ila ukwaju ni mwingineHuku kwetu mti wake unaitwa mchongoma, watu wanapanda kama uzio ingawa tunda lake linaitwa ukwaju.
Sijawahi kuonja