Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika maisha watu wengi hawataki kukuona ukiendelea kwa sababu ukiendelea unakuwa kioo kwao. Ghafla wataanza kukutazama. Wanajua wana akili kama wewe, wamesoma kama wewe, au wana akili kuliko wewe, au wamesoma kuliko wewe, na labda wanazijua sifa zako za udhaifu na sifa zako za ushupavu toka utotoni kwako. Lakini ghafla unakuwa kioo, na wanapojitazama katika hicho kioo, wanajiona taswira zao isipokuwa sasa hawapo mahali ambapo wewe upo. Katika maisha watu watakushauri, watakufitini, watakurubuni na watakukatisha tamaa. Sema hapana kwa ndiyo nyingi kwa sababu hawaoni unachokiona, hawajui unachokifanya na hawajui unapoelekea. Unachokiona ni takdiri ya maisha yako, unachokifanya ni kupanda mbegu na kuzimwagilia kwa imani, na unapoelekea ni kileleni. Hivyo, songa mbele, kuwa wewe daima, wape muda, wape nafasi.
Enock Maregesi
 
Kama kuna jambo la muhimu unapaswa kufanya kwa ajili ya kadari ya maisha yako na kipindi hichohicho kuna kipindi kizuri cha televisheni unakisubiria, au simu ya umbea, au kinanda cha shida, palilia bustani yako ya kiroho kwa kuachana na televisheni na simu na kufanya jambo la msingi kwa ajili ya maisha yako.
Enock Maregesi
 
Muda hausimami, kila siku muda unaendelea kwenda mbele na nyakati zinazidi kubadilika. Katika maisha ya mwanadamu kuna wakati mwili na akili vinakuwa na nguvu ya kutosha katika kufurahia maisha na kuna wakati tunakosa nguvu ya mwili na akili. Hii ni hasa tukiwa uzeeni na mwili ukiwa umeshachoka.
 
I love you so much please accept my request I wanna date you
Hizi balehe za siku hizi ni shida. Mkuu tongoza mtaani kwako utafanikiwa,humu tunakuona hivi tu
IMG_20200930_201616.jpg
 
Hizi balehe za siku hizi ni shida. Mkuu tongoza mtaani kwako utafanikiwa,humu tunakuona hivi tuView attachment 1585964
Nia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hizi
"Love is so funny sometimes,
You love people who never/won't love you,But then you hate people who truly love you.You can't love everyone"

"Watu wema huchelewa kupata wapenzi lakini wale watukutu hupata kwa haraka Sana"

"Its possible to turn friendship into love but its not possible to turn love into friendship"

"Kosa kubwa wanalofanya wanawake ni kwamba huwapenda wale wasio na mapenzi ya kweli na kuwakataa wale wasio na mapenzi ya kweli"

"Sitashangaa Katika dunia iliyo na wanawake wengi nikaoa mwanamke mmoja kwasababu waaminifu na wenye true love wamebaki wachache mno"
 
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
SIMU YAKO INAWEZA KUPUNGUZA AU KUONGEZA KIPATO CHAKO

Kama unatumia simu kubwa yenye WhatsApp na haikuingizii kipato lakn una hamu na una penda kujua jinsi ya kufanya ili uingize kipato . Basi leo nataka nikuoneshe fursa ambayo utaweza kutengeneza pesa zaidi ya 10000 kwa siku kupitia simu yako.

Comment namba yako ya WhatsApp hapo chini ili niweze kukupatia maelekezo jinsi ya kuikamata fursa hii itakayoweza kubadili maisha yako. Au nitafute kwenye 0765920866. Au 0622904225
 
Nia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hii
"Love is so funny sometimes,
You love people who never/won't love you,But then you hate people who truly love you.You can't love everyone"
Acha kuzuga mkuu. Jibu umepata

Hio quote yako ungeiweka chini ingependeza maana uliandika sentensi moja kisha ukaedit.
 
Nia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hizi
"Love is so funny sometimes,
You love people who never/won't love you,But then you hate people who truly love you.You can't love everyone"

"Watu wema huchelewa kupata wapenzi lakini wale watukutu hupata kwa haraka Sana"

"Its possible to turn friendship into love but its not possible to turn love into friendship"

"Kosa kubwa wanalofanya wanawake ni kwamba huwapenda wale wasio na mapenzi ya kweli na kuwakataa wale wasio na mapenzi ya kweli"

"Sitashangaa Katika dunia iliyo na wanawake wengi nikaoa mwanamke mmoja kwasababu waaminifu na wenye true love wamebaki wachache mno"
Numbisa
 
Back
Top Bottom