Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama wewe unavyoishi katika malengo yako ya kuipenda CCM na miwani yako kubwa!Maisha ni mafupi - Ishi katika malengo yako.
Hizi balehe za siku hizi ni shida. Mkuu tongoza mtaani kwako utafanikiwa,humu tunakuona hivi tuI love you so much please accept my request I wanna date you
Nia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hiziHizi balehe za siku hizi ni shida. Mkuu tongoza mtaani kwako utafanikiwa,humu tunakuona hivi tuView attachment 1585964
SIMU YAKO INAWEZA KUPUNGUZA AU KUONGEZA KIPATO CHAKOUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Acha kuzuga mkuu. Jibu umepataNia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hii
"Love is so funny sometimes,
You love people who never/won't love you,But then you hate people who truly love you.You can't love everyone"
NumbisaNia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hizi
"Love is so funny sometimes,
You love people who never/won't love you,But then you hate people who truly love you.You can't love everyone"
"Watu wema huchelewa kupata wapenzi lakini wale watukutu hupata kwa haraka Sana"
"Its possible to turn friendship into love but its not possible to turn love into friendship"
"Kosa kubwa wanalofanya wanawake ni kwamba huwapenda wale wasio na mapenzi ya kweli na kuwakataa wale wasio na mapenzi ya kweli"
"Sitashangaa Katika dunia iliyo na wanawake wengi nikaoa mwanamke mmoja kwasababu waaminifu na wenye true love wamebaki wachache mno"
Hivi vicheko ndio vinatufanya tusionekane humu. Bora lawama kuliko fedheha... ππYegomasika
Davet
Bradha
The Happiness
ππππππππππππππππππππππππππππView attachment 1582911
Watu wa Mnazi mmoja hasa kata ya Mchafukoge na Tanganyika Pakers Kawe, michongoma yao wanaita Ukwaju[emoji23][emoji23]Ndio huo huo ila ukwaju ni mwingine