Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Asubuhi ya mboga za majani na mkono wa sweta.
sijaelewaAsubuhi ya mboga za majani na mkono wa sweta.
Ina maana comments za Numbisa hujazisoma au?sijaelewa
natoa likes tuIna maana comments za Numbisa hujazisoma au?
Unatoa tu likes then kwangu imekuwaje mpaka uniambie hujaelewa....natoa likes tu
mboga iliopigwa kwa dakika 5 bado itakuwa ni mbichi.Unatoa tu likes then kwangu imekuwaje mpaka uniambie hujaelewa....
Ok, asubuhi hii Numby amecomment kuhusu faida na umuhimu wa kula mboga za majani ambazo zimepikwa kwa dk 5 tu.
Pia kaandika kuhusu 'mkono wa sweta' aka govi.