D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
weweee kuna siku nilikamatwa na jeshi (usipite hapa nikapita)1. Huboresha mkao na mwonekano wako
Push up ni njia bora ya kuufanya mgongo wako unyooke. Push up huimarisha na kuweka sehemu mbalimbali za mwili wako kukaa jinsi ipasavyo; kwa njiaa hii huufanya mwili wako uwe na mwonekano mzuri.
adhabu piga pushapu 100 kwa vidole
nilikojoa kuliko maji ya mvua ya masika