Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3. Zabibu inazuia magonjwa mengi ya moyo.
ushawahi kumuona muarabu mwenye six pack?Jamani mkorea ,six pack za kudakia maua maua japo mfukon unaweza usiwe na njoronjoro za maana
ushawahi kumuona muarabu mwenye six pack?
nimewakusudia wale madon (wazee wa malemba) na chupa za kahawa pembeniOzil kwa mfano wa haraka haraka
😂😂😂😂😂dae bana hao sijawahi kuwachungulia. Hebu nione kama push up haijatoa six packnimewakusudia wale madon (wazee wa malemba) na chupa za kahawa pembeni
nitakapofikisha miaka 40 nitafikiria kufanya mazoezi ya kutanua mwili ila kwa sasa acha niendelee na ubetina wangu😂😂😂😂😂dae bana hao sijawahi kuwachungulia. Hebu nione kama push up haijatoa six pack
nitakapofikisha miaka 40 nitafikiria kufanya mazoezi ya kutanua mwili ila kwa sasa acha niendelee na ubetina wangu
ndio maana the happiness akashindwa?😂😂😂😂😂😂😂ufuge na kucha kama KD
Auntie hajui utamu wa kucha,akija fahamu hawezi shindwa kuvumiliandio maana the happiness akashindwa?
labda itakuwa jamaa ni mchafuAuntie hajui utamu wa kucha,akija fahamu hawezi shindwa kuvumilia
labda itakuwa jamaa ni mchafu
bosi mkubwa yupo gerezani wao wanalinda mali...Daeee usinichonganishe na KD aiseeeeee ntakuletea yale majambazi ya kwenye tailor
Halafu mali yenyewe hata bado hawajaimiliki kihalalibosi mkubwa yupo gerezani wao wanalinda mali...
wakorea mbele ya pesa wanakuwa wazembe sana.
kwani kd bado yupo?