Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Huboresha mkao na mwonekano wako

Push up ni njia bora ya kuufanya mgongo wako unyooke. Push up huimarisha na kuweka sehemu mbalimbali za mwili wako kukaa jinsi ipasavyo; kwa njiaa hii huufanya mwili wako uwe na mwonekano mzuri.
weweee kuna siku nilikamatwa na jeshi (usipite hapa nikapita)
adhabu piga pushapu 100 kwa vidole

nilikojoa kuliko maji ya mvua ya masika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…