Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Haha sio cheusi Zoumanitamalizia cheusi mendy
Haha sio cheusi Zoumanitamalizia cheusi mendy
😀😀Hata kwa dk chache tu siwezi kukaribia thoe kuna vijana wazuri wazuri, mahendsamu
hivi kwanza mumetuacha kwa points ngapi.Haha sio cheusi Zouma
Nne.hivi kwanza mumetuacha kwa points ngapi.
wiki ijayo man utd tunaanza ligi rasmi
amen....oktoba hii unakuja old trafford na mendy wakoNne.
Kila la kheri kwenye huo uanzaji 😅
HatariJoto...
Jua kali hadi kero..
Pole wakwetuJoto...
Jua kali hadi kero..
Salama jirani..nilikuwa mbali kidogoHaha!!..... Sijambo, habari yako?
Natamani hadi kuvua nguo tatizo mazingira hayaruhusu 😅 dahHatari
Sijui ni barabara ya mtaa gani hii 🙇
Mount meru inaonekana vizuri tu, na ni sehemu nyingi nyingi ukiwa unatembea kuiface ni lazima.Barabara ya mianzini hiyo si unaona mount meru mbele kule. Nilikua natembea nafata barbara last sunday kumbe mbele kule ndo lami inaishia..kuna vumbi balaa. Nikaahirisha.
Ila nimependa nature na mazingira ya mitaani ndanindani hadi raha palivyo.
Hofu ilikua kukabwa tu maana sehemu nyingi kuna harufu ya bangi
View attachment 1593065View attachment 1593067
👊🏽👊🏽👊🏽