myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wa sokoni na dukani...
[emoji818][emoji818]1. Kunywa maji ya kutosha.
Sawasawa1. Zabibu inatibu pumu (Asthma)
Vumbi limezidi bora mvua zianze tu. Pia jua likiwaka hivi ukipita East Africa road na kwenyewe unaonekana vizuri...Last monday nilienda kuzuru Morombo. Nachoinjoi kule ni muonekano wa Mlima meru. Unaonekana vizuri sana..Lini nikupitie twende tena. Ila arusha kunavumbi balaaView attachment 1593068
It was last year wishes siku kama ya leo, Happy birthday to me once again 😍🤪
Jioni njemaSalam kwenu
Amin[emoji23]Iwe siku njema kwetu wote..