Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni muhimu sana kunawa mikono baada ya kutoka chooni, na baada ya kumsafisha mtoto mdogo aliyejisaidia. Ni muhimu pia kunawa mikono baada ya kushika wanyama, kabla ya kuwalisha watoto au kugusa chakula.