Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu Bandari salama
FB_IMG_1602183961697.jpg
 
Kwangu lazima nichemshe maji ya kunywa kila siku.

Tumia maji safi tu
Watu hawashikwi sana na magonjwa wanapotumia maji safi ya kunywa na kuyahifadhi vizuri ili yasichafuliwe kwa viini. Ingawa inaaminika kuwa maji ya bomba ni salama na machoni yanaonekana safi, bado yanaweza kuwa na viini vya magonjwa.
 
Back
Top Bottom