Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
π π π πKabisaaa ukute davet ni kampen meneja. Leo mgombea kapumzika basi kd kapata muda wa kuchungulia humu
Bro don ukute mgombea ubunge
Hawachi,carba viti maalum ubunge au udiwani
Ninge na cole wachora raman ya wagombea au labda wale mabaunsa wanaolinda viongozi maana wameshiba
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ aiseeDahh!!!
Kisingekuwa kile kijamaa kimswati...
Ashukuriwe anti yako binti mpole kwa faraja aliyo kupa.
Na mnipende kiukweli ukweli sasa... Mimi mwenyewe ni binadamu nina mahitaji kama wengine kwani uzee kitu gani
#chozinitadaka
Me pia nimeona hakuna uhusiano kabisaAkisema ndiyo mimi nitapinga... Hakuna uhusiano kabisa, nimepima.
Hahah!Wewe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa kabisa meneja wa watuππππWewe acha tu, haya mambo ya uchaguzi yananipeleka mbio sana π
Uko poa?
Mungu ni mwema Anko, bimkubwa anaendeleaje?Hahah!
Heshima yako anko
Shwari bro[emoji120][emoji120]Vipi lakini shwari?
[emoji1787][emoji1787]Napinga kwa macho yangu [emoji3][emoji3][emoji3]
We mzee lakini kwema hukoNapinga kwa macho yangu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahah! BroShwari bro[emoji120][emoji120]
Kampeni zinaendaje huko
Maza yupo fresh sana anko..... hakika njia ya pili itakuwa poa zaidiMungu ni mwema Anko, bimkubwa anaendeleaje?
Kuna haja ya kutafutana kwa njia ya pili