ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
AminJioni iwe njema
AminMungu awaponye wagonjwa wote
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima
AsanteWakulima poleni sana
Hongera walezi wa familia
AminWasafiri Mfike salama
Asante sanaWakulima woote poleni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The Happiness tumeboresha huduma zetu pata wigi na kofia yake uonekane wa kisasa. Muonekano wa kijanjaView attachment 1600981
πππππ huyu ndio anko wetu sasa walahy,unajipendeleaga basi tuDahh!!!
Kisingekuwa kile kijamaa kimswati...
Ashukuriwe anti yako binti mpole kwa faraja aliyo kupa.
Na mnipende kiukweli ukweli sasa... Mimi mwenyewe ni binadamu nina mahitaji kama wengine kwani uzee kitu gani
#chozinitadaka