Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hiyo imekuwa hadi sasa asili inayokubalika ya uwepo wa dhahabu Ulimwenguni na kwenye sayari yetu. Walakini, kulingana na utafiti wa Kobayashi, lazima kuwe na vyanzo vingine ambavyo vinazalisha kile kinachoitwa "wingi wa dhahabu."
 
Lakini je, unaweza kubaini chanzo kingine ni kipi?
"Uwezekano mwingine ni ikiwa supernova itaiangamia. Inasadikiwa kuangamia kwake kunaweza kutengeza kiwango kikubwa cha dhahabu kwa muda mfupi, japo bado haitoshi, " anaelezea Kobayashi.
 
Mwanasayansi huyo anafafanua kuwa uvumbuzi uliobainiwa na kundi lake unasema kuwa mabaki ya mlipuko wa nyota angani (supernovae) inakaribia kuangamia, japo kiwango kilichosalia ni kikubwa kiasi cha kutengeza vyuma vizito, mchakato wake unafanya kazi dhidi ya uzalishaji huo angani.
 
Kwa mfano, mfano tuliouunda uliweza kuhesabu kiwango cha madini ya strontium inayozalishwa na mgongano wa nyota ya nyutroni, ambayo inalingana na kiwango ambacho wanajimu wanacho sasa, "alisema," .
Lakini asili ya kiwango kilichopo cha dhahabu bado haijulikani.
 
Kwa mujibu wa mfano wao, kiwango kikubwa cha dhahabu kupatikana duniani ni bilioni 13.8 sawa na 4.0 × 1042 kg, ambacho ni kati ya asilimia 10 -20 ya kile kinachotarajiwa katika vimondo, jua na nyota zilizo karibu ", anaelezea mwanasayansi huyo.
 
Na ikizingatiwa upungufu wa dhahabu wa siku zijazo duniani, utafiti wake huenda ukatoa nafasi ya kufanywa kwa uchunguzi wa ikiwa kuna uwezekano wa kupatikana kwa madini hiyo ya thamani ulimwenguni.
 
Ni vigumu," anatilia shaka mtaalamu huyo. "Kwasababu japo kuwa jua, kwa mfano, lina kiwango cha haja cha dhahabu, ukweli ni kwamba baadhi ya migongano wa nyota ambayo huchangia kutengenezwa kwa dhahabu angani iko mbali sana kufikiwa na binadabu."
 
Back
Top Bottom