myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mliokuwa kazini poleni...
AiseeKiwango cha dhahabu ilichosalia duniani kinakadiriwa kuwa karibu tani 50,000, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wanajiolojia wa Marekeni.
Sina undugu naye wa kuzaliwa, ni ndugu yangu kwakuwa ni mtanzania mwenzangu.kumbe alikuwa ni kaka yako...poleni kwa msiba
Sina hata uhakika kama kweli hapo ni Meatu.Waaow kumbe tanzania tuna barabara nzuri hivi na alama zake.
Tupo juu.
Hao polisi wanampigia saluti nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sina hata uhakika kama kweli hapo ni Meatu.
We mwaga likes tuendelee[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
AiseeRipoti iliyotolewa wiki hii inaashiria kuwa kiwango cha dhahabu iliyopo duniani ni kubwa kuliko ni kubwa kuliko kile kilichokadiriwa katika tafiti zilizopita.