andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua na anko shule
Ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua na anko shule
Asante anko[emoji4]Marahaba mama, karibu
😂😂😂😂😁😁😁😁😂😂Ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba unipumzishe Anko, nitakufwaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂utapumzika kesho. Leo fanya zoezi kidogoNaomba unipumzishe Anko, nitakufwaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njoo DarHahaha sawa Ustaadh.
Nitajie ya kweli basi
Kwahiyo hadi nije Dar ndipo unitajie?[emoji134]Njoo Dar
Kwakuwa navyojua mwezi ujao unatimiza miaka 30 kamili kama nilivyokuona enzi zile za Mundo bar ya mtaa wa Yombo, Super Rose ya mtaa wa Ndalala, Kata ya 14, Wapiwapi Chang'ombe, au enzi za Disco pale Temeke centre.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata sijui nimemkosea nini Esta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kweli niwe na namba ya kliniki?!! Hapana. Bila ya uhakiki wa vyeti na kuongeza jina la tatu nisingekuwa na cheti cha kuzaliwa kabisa.
Mkuu wewe endelea kunitetea bila kuchoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua na anko shule
Uje Dar nikupe zawadi,Kwahiyo hadi nije Dar ndipo unitajie?[emoji134]
Zawadi gani [emoji4][emoji847]?Uje Dar nikupe zawadi,
Mwisho wa mwaka huu
Umenikumbusha mbali saaaana... Disco la kuruka majoka [emoji16][emoji16][emoji16]Kwakuwa navyojua mwezi ujao unatimiza miaka 30 kamili kama nilivyokuona enzi zile za Mundo bar ya mtaa wa Yombo, Super Rose ya mtaa wa Ndalala, Kata ya 14, Wapiwapi Chang'ombe, au enzi za Disco pale Temeke centre.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kweli hukucheza Disco "Ushirika club" aka Margot miaka ileee?
Mkuu ni kweli hukulikuta Disco la DJ Ommy na Moses Justin pale California Dreamer Upanga?
Mkuu usijali nitakulindia siri zako[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utapumzika kesho. Leo fanya zoezi kidogo
Njoo nikupe zawadi ya kuaga mwaka 2020Zawadi gani [emoji4][emoji847]?
Niambie Sasa ni zawadi gani[emoji4]Njoo nikupe zawadi ya kuaga mwaka 2020