Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi MV Bukoba limekuwa tukio la kupima umri?
Kama ni hivyo mi ni kibabu kabisa.
Maana tukio la Jumanne Lume Mwiru na wenzake kuhusika na mauaji ya Kevin Rwakatare na watu wengine zaidi ya mia8 nalikumbuka kama limetokea jana tu
Kuna siku nimepita nikaangalia profile yako hapa
Aisee Kumbe ustaadh wewe mkubwa hivyo [emoji119]

Halafu dunia inaenda kasi sana jamani .. yaani waliozaliwa Mwaka 1970 Wana miaka 50 Sasa hivi[emoji119]
 
Ndio kipimo tosha.

Ustadh ee hayo matukio uliyosoma gazetini sie bana hatuelewi ila kwa anko aaaah usitulishe ndimu nyingi.
Hivi MV Bukoba limekuwa tukio la kupima umri?
Kama ni hivyo mi ni kibabu kabisa.
Maana tukio la Jumanne Lume Mwiru na wenzake kuhusika na mauaji ya Kevin Rwakatare na watu wengine zaidi ya mia8 nalikumbuka kama limetokea jana tu
 
Hahahahahahaha, we mzee ati una miaka 30![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mi simo
Hata sijui nimemkosea nini Esta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kweli niwe na namba ya kliniki?!! Hapana. Bila ya uhakiki wa vyeti na kuongeza jina la tatu nisingekuwa na cheti cha kuzaliwa kabisa.

Mkuu wewe endelea kunitetea bila kuchoka
 
Back
Top Bottom